
Tuzo maalum kwa watu mbalimbali waliofanya mchango katika jamii ya watanzania zinatarajiwa kutolewa mwishoni mwa mwaka huu.Mjumbe wa kamati ya tuzo hizo zenye heshima kubwa katika jamii ya Watanzania, David Mchome amesema kuwa libeneke hilo linatarajiwa kuchukua nafasi katika jiji la Dar es Salaam Desemba mwaka huu."Kila kitu kinakwenda sawa tunarajia kila kitu kitakwenda sawa, hii ni kutokana na ukweli kuwa watu wenye mchango katika jamii yetu wamesahaulika...