Katika nchi ya Ufilipino, hivi karibuni jamaa mmoja alifariki dunia baada ya kushambuliwa na nyoka kisha kumezwa mzima mzima na kufanya dunia kuwa katika mshangao mkubwa.
Jamaa huyo alitambulika kwa jina la Aquino Belmonte alivamiwa na nyota huyo akiwa amejilaza karibu na makazi yake yaliyopo kwenye misitu iliyo katika safu ya milima ya Konduko katika jimbo la Biliran nchini humo ingawa chanzo cha usingizi huo kikielezwa kuwa ni unywaji wa pombe kupita kiasi.
Uchunguzi bado unaendelea kufanywa ili kujua kiini hasa cha jambo hilo ambalo limeendelea kuuacha ulimwengu vinywa wazi kuwa nyoka si rafiki wa binadamu. zifuztazo ni picha za tukio lenyewe.
Sunday, February 5, 2012
nyoka ameza binadamu
7:13 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment