Mwalimu mkongwe katika lugha ya Kiingereza Tanzania, Gasper Kakore, anendelea vema na matibabu yake jijini Dar es Salaam.
Mwalimu Kakore ambaye anasumbuliwa na tatizo la figo anaendelea kutibiwa katika Hospitali ya Regence iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mdogo wa mwalimu huyo, Bwana Joseph Kakore alisema kuwa kaka yake aliwasili jijini Dar es Salaam wiki iliyopita akitokea Kata ya Gonja mkoani Kilimanjaro anakoishi na familia yake.
Aidha Kakore alisema kuwa kaka yake ameendelea vema na matibabu ambayo bado hajaweza kueleza kuwa yatakamilika lini.
Ndugu wadau tuendelee kumuombea mwalimu wetu aweze kujerea nyumbani kwake.