Friday, July 2, 2010

Neema Kyando alipoagwa

Hatimaye Neema Kyando mzaliwa wa mkoani Iringa, hivi karibuni alifunga pingu za maisha na Jonas Kato, mzaliwa wa mkoani Kagera, ambapo blog ya wazalendo ilitinga katika mnuso wa kumuaga neema yaani Sendoff uliofanyika katika ukumbi wa Makete Inn Maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam.

0 comments: