Klabu ya Yanga imetangaza kuwa itaungana na Watanzania wengine katika kuhangaika na kuwasaidia wahanga wa mabomu w katika kambi ya jeshi ya Ngongo la Mboto.
Katibu mkuu wa klabu hiyo, Celestine Mwesige alisema kuwa kuanzia Ijumaa iliyopita wamefungua mfuko maalum wa maafa ambao upo kwenye makao makuu ya klabu hiyo iliyopo makutano ya mitaa wa Twiga na Jangwani jijini
0 comments:
Post a Comment