Baadhi ya wakazi mji wa Kupini and Valle de las Flores districts in La Paz, Bolivia. Heavy rains triggered landslides in the area, leaving two people dead, dozens injured and destroyin
Huyu ni bingwa wa kunanua mdomo je wewe mdauhili unaweza kulihimili?
Mmoja wa Mawaziri wa madini wa Chile akipatizwa katika mto Jordan River uliopo Kaskazini mwa Israel.Maelfu ya watu huzuru nchi hiyo kwa ajili ya ibada ya Hija kila mwaka.
Mmoja wa walinzi wa serikali ya Libya wakipiga saluti mbele ya picha ya Kiongozi wa Libya Canal Muamar Gadafi katika kituo cha ukaguzi kilichopo magharibi wa jiji la Tripil hivi karibuni. Kwa sasa Gadafi yupo kwenye wakati mgumu wa utawala wake akitakiwa kuondoka kwenye nafasi hiyo na wale wanaompinga.
Huu ni mnara mmoja mrefu uliopo mjini San Jose, Costa Rica