Tuesday, March 1, 2011

Stara Thomas ageukia Mziki wa Injili




Mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya, Stars Thomas hatimaye ameachana na muziki wa kidunia rasmi na kugeukia muziki wa Injili.

Taarifa kutoka kwa muziki huyo zilizotuia hivi karibuni zinaeleza kuwa mwanadada huyo ameamua kuokoka na sasa anamtumikia Bwana.

Stars mama wa watoto wawili aliwahi kutamba tangu mwanzo ni mwa miaka ya 2000 ambapo aliweza kufanya kazi zake mwenyewe na akishirikishwa katika baadhi ya nyimbio.

Miliongoni mwa nyimbo alizowahi kuimba ni pamoja na, Nipo kwa ajili yako huku akishirikishwa kwenye kazi ya Mbunge wa Mbeya mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Two’ Sugu, iitwayo Sugu.

0 comments: