Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Emmanuel Nkwabi anatarajia kuingiza video mbili sokoni ambazo ni Noti bandia pamoja na harusi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Wazalendo Bright Media ya jijini Dar es Salaam ambao ndiyo wanasimamia kazi hiyo Ahadi Kakore, zilisema kwamba Nkwabi anatarajia kuingiza kazi hizo mbili kwenye runinga baada ya sikuu ya pasaka.
Friday, February 13, 2009
Nkwabi aweka mbili kideoni
11:02 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment