Monday, November 23, 2009

LIBENEKE LA FISI AFRIKA YA KATI

AMA KWELI UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI. Wahenga naamini kwamba hawakukusea kusema msemo huu kwa maama katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kumeibuka kundi la vijana wanaofuga Fisi na Nyani kwa kama sehemu ya kujipatia kipato kwa watu na wageni kutoka mataifa mengine ambao wanashangaa aina hiyo mpya ya maisha, hasa kwa hapa Afrika.









1 comments:

Anonymous said...

hii ni kali ya mwaka na inaonmesha ni vipi wenzetu wamejipanga katika kutafuta mkwanya big up ukurasa wa maajabu.