Saturday, November 21, 2009

Sarah Mvungi sasa ni Desemba 13



Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Sarah Mvungi hivi sasa yupo kwenye mikakati ya mwishomwisho ya kutoka na albam yake ya kwanza iitwayo Yesu Asante.

Akizungumza na safu hii, Mvungi alieleza kuwa kila kitu kipo sawa na uzinduzi huo utafanyika kwenye Kanisa la Christin Fellowship Sinza jijini Dar es Salaam.

1 comments:

Anonymous said...

kweli inafurahisha wenzetu wamejipanga kisawasawa katika kutafuta fedha nawakubali sana ukuransa wa maanabu.