Saturday, August 28, 2010
viongozi 10 wazee zaidi duniani
ROBERT MUGABE, 84, president of Zimbabwe, 28 years in power
KING ABDULLAH , 84, king of Saudi Arabia, 12 years in power
GIRIJA PRASAD KOIRALA, 83, prime minister of Nepal, two current years in power
ABDOULAYE WADE, 81, president of Senegal, eight years in power
HOSNI MUBARAK, 79, president of Egypt, 26 years in power
SHEIKH SABAH AL AHMAD AL SABAH, 78, emir of Kuwait, five years in power
RAUL CASTRO, 76, president of Cuba, two years in power, including unofficially
MWAI KIBAKI, 76, president of Kenya, five years in power
MANMOHAN SINGH, 75, prime minister of India, four years in power
THAN SHWE, 75, chair of Burma's military junta, 16 years in power
Thursday, August 5, 2010
Naomi Campbell kutoa ushahidi dhidi ya Charles Taylor
Bi Campbell inadaiwa alipokea almasi kutoka kwa rais huyo wa zamani kama zawadi mwaka 1997 -- ingawa amekanusha.
Bwana Taylor anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kivita katika mahakama maalum kuhusu Sierra Leone huko the Hague, inadaiwa alimkabidhi Bi Campbell almasi kama zawadi mnamo mwaka huo akiwa nchini Afrika kusini kwa mwaliko wa rais mstaafu Nelson Mandela.
Hata hivyo Taylor amekanusha madai hayo na ndio sababu kuu ya bi Campbell kutakiwa kutoa ushahidi katika kesi hiyo.
Madai hayo pia yamesemekana kuwa sababu ya kesi dhidi ya Yaylor kwa vitendo vyake, wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi jirani ya Sierra Leone.
Upande wa mashtaka ungetaka kuthibitisha kuwa bwana Taylor alihusika katika biashara ya kubadilishana silaha na kupewa Almasi zilizopatikana kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone.
Saturday, July 31, 2010
ajali ya Najmunisa iliyoua 17 hapo hapo jana
Friday, July 30, 2010
zawadi kwa mgeni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akimkabidhi zawadi ya Kinyago, Naibu Waziri wa Mazingira wa Korea Kusini, Jong Soo Yoon mara baada ya mkutano wa ushirikiano kuhusu usimamizi wa mazingira baina ya Serikali ya Korea na Tanzania uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Naura Mjini Arusha.
Saturday, July 10, 2010
Friday, July 2, 2010
Neema Kyando alipoagwa
Tuesday, June 1, 2010
Je unatambua uimara wa Hummer
Naam haka ndiko kausafiri ketu.
Friday, May 21, 2010
Tuzo za nyota wa Tanzania zaja
Mjumbe wa kamati ya tuzo hizo zenye heshima kubwa katika jamii ya Watanzania, David Mchome amesema kuwa libeneke hilo linatarajiwa kuchukua nafasi katika jiji la Dar es Salaam Desemba mwaka huu.
"Kila kitu kinakwenda sawa tunarajia kila kitu kitakwenda sawa, hii ni kutokana na ukweli kuwa watu wenye mchango katika jamii yetu wamesahaulika kitu ambacho ni hatari kwa taifa.
Kwa sasa kampuni ya Wazakendo bright media compani, inatarajiwa kufanya shughuli hiyo kwa niaba ya Watanzania wote ili kuifanya jamii iwakumbuke watu wenye majina makubwa katika taifa," alisema Mchome.
MRISHO MPOTO
ANNA KILANGO MALICELA
MRISHO NGASSA
PROF.ANNA TIBAIJUKA
watu wanaotarajiwa kupewa tunzo ni kama ifuatavyo:-
1.Mwanasiasa bora wa mwaka.
2.Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka.
3.Mwanamuziki bora wa kike wa mwaka.
4.Mwanamuziki bora chipukizi wa mwaka.
5.Mcheza filamu bora wa mwaka.
6.Mcheza filamu bora wa kike wa mwaka.
7.Mwanamichezo bora wa kiume wa mwaka.
8.Mwanamichezo bora wa kike wa mwaka.
9.Mwandishi bora wa michezo wa mwaka.
10.Mtangazaji bora wa mwaka.
11.Muimbaji bora wa kike wa muziki wa injili wa mwaka.
13.Muimbaji bora wa kiume wa muziki wa injili wa mwaka.
14.Filamu bora ya mwaka.
15.wimbo bora wa mwaka.
Naomi linked to blood diamonds
Naomi Campell
Charles Taylor
The Hague - Prosecutors want to subpoena supermodel Naomi Campbell to testify over a so-called blood diamond she allegedly received from Liberia's ex-president Charles Taylor, said court papers filed on Thursday.
"Ms Campbell's testimony is necessary as there is evidence that Ms Campbell was given rough diamonds by the accused (Taylor) in September 1997," said a prosecution motion filed with the Special Court for Sierra Leone.
"Ms Campbell's anticipated evidence concerns 'a central issue' in the case: the accused's possession of rough diamonds," states the document, a copy of which was obtained by AFP.
Taylor's war crimes trial heard claims in January that he had given Campbell a "large" diamond after a 1997 dinner hosted by South African ex-president Nelson Mandela.
The diamond was among those Taylor had obtained from Sierra Leone rebels and took to South Africa "to sell... or exchange them for weapons", prosecutor Brenda Hollis asserted in cross-examining Taylor at the time.
Taylor, on trial since January 2008, denied the claims.
He has pleaded not guilty to 11 counts of war crimes and crimes against humanity stemming from the brutal 1991-2001 civil war in neighbouring Sierra Leone, including charges of murder, rape, conscripting child soldiers, enslavement and pillaging.
Taylor stands accused of having fuelled war in Sierra Leone by arming the rebel Revolutionary United Front (RUF) in exchange for "blood diamonds" - the name given to diamonds mined in rebel-held regions of Africa and sold to fund warfare.
The RUF is blamed for the mutilation of thousands of civilians who had their hands and arms severed in one of the most brutal wars in modern history, which claimed some 120 000 lives.
Saturday, May 15, 2010
Uharibifu wa mazingira yetu
Haya ni maeneo mbalimbali ya mito duniani ambayo yameadhiriwa na idadi kubwa ya watu pamoja na uchafuzi mkubwa wa mazingira.Katika maeneo yote haya hakuna sehemu ya Afrika hata mojoa ila mito hii inapatikana Marekani ya Kaskazini, Ulaya na Asia (China na India).
asante sana mdau Ignas Kanuya popote pale ulipo.