This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Tuesday, October 18, 2011

Mwalimu Kakore aendelea vema na matibabu Dar

Mwalimu mkongwe katika lugha ya Kiingereza Tanzania, Gasper Kakore, anendelea vema na matibabu yake jijini Dar es Salaam.Mwalimu Kakore ambaye anasumbuliwa na tatizo la figo anaendelea kutibiwa katika Hospitali ya Regence iliyopo jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mdogo wa mwalimu huyo, Bwana Joseph Kakore alisema kuwa kaka yake aliwasili jijini Dar es Salaam wiki iliyopita akitokea Kata ya Gonja mkoani Kilimanjaro anakoishi na familia yake.Aidha...

Friday, September 9, 2011

vita ya Gadaffi

Vita ya kumng'oa Canal Muamar Gadaffi imeendelea katika taifa hilo, zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio ya vita hiyo inayoendelea nchini ಹು...

Friday, August 26, 2011

Baa La Njaa Somalia; Orodha Ya Waliochangia Na Jumla Iliyopatikana Hadi Sasa....

Watoto Wanne Wanakufa, Familia Moja; Tunafanya Nini?Mwenzetu Bi. Naima Abdalah Besta amekuja na wazo la kuwachangia ndugu zetu wa Somalia na hususan watoto wanaokufa njaa kila siku. Na mchango wako waweza kuwa hata wa shilingi elfu moja. Na hapa ni taarifa ya michango hadi sasa; 1. Anonymous 100,0002. Anonymous 100,0003.Edwin Namnauka 15,0004. Dennis Tagalile 20,0005.Batamwa...

Makamanda wa Bunge

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in...

Uuzwaji wa mahakama mazungumzo yaendelea

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO DAR ES SALAAM Mazungumzo bado yanaendelea kati ya Serikali na Muwekezaji aliyejitokeza kununua jengo la Mahakama ya Rufani iliyopo katika makutano ya barabara ya Kivukoni na Ohio jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Celina Kombani wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliokuwa wakichangia hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo. “Kuhusu suala la uuzwaji wa jengo la...

Thursday, August 25, 2011

Miss Tanzania wapata elimu ya M-PESA

Meneja Huduma wa Bidhaa za Vodacom, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo juu ya huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana. Afisa Utawala wa Huduma ya M Pesa kutoka Vodacom, Emmanuel Pallangyo akigawa viperushi vilivyo na maelezo ya namna huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo...

Monday, August 22, 2011

Rais Jakaya Kikwete Kwenye Futari Zanzibar

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Dk.Ali Mohamed Shein, wakijumuika katika Futari ilioandaliwa na Rais wa Tanzania Dk.Kikwete katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. Mheshimiwa Mbunge Mussa Khamis Silima Apata Ajali Iliyosababisha Kifo Cha Mkewe Dereva Chezani Sebunga aliyekuwa akiendesha gari la Mbunge, Mussa Khamis Silima...

Friday, August 19, 2011

Grand Malt katika chupa mpya

Viongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakigonganisha chupa za Grand Malt katika uzinduzi wa kinywaji hicho leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TBL, Editha Mushi, Meneja wa Grand Malt Consolata Adam na Meneja Masoko wa kinywaji hicho, Fimbo Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4...

Sunday, August 7, 2011

Maj. General Silas ' Mti Mkavu' Mayunga Amefariki Dunia

Major General Silas Mayunga (Pichani kushoto) amefariki jana asubuhi katika hospitali ya Apollo - New DelhiWakuu taarifa za uhakika nilizopata kutoka nchini India kuwa mpiganaji wetu shupavu na kiongozi mwadirifu, Luteni Gerenali Silas Mayunga hatuko naye tena, amefariki leo katika hospitali ya Apollo New Delhi, India ambako alikuwa amelazwa tangu mwezi, Julai 2011.Generali Mayunga atakumbukwa kwa mengi kwa jinsi alivyotumikia Taifa letu kwa utumishi...

ZIARA YA MKE WA RAIS WA BURUNDI DKT,DENISE NKURUNZIZA

Mwanafunzi Zainab Musa wa shule ya sekondari maalumu ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayoendeshwa na Taasisi ya WAMA iliopo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani akimuonyesha mazoezi ya vitendo katika maabara jinsi ya tofauti matumizi ya moto। Mke wa Rais wa Burundi Dkt. Denise Mucumi Nkurunziza (kushoto aliyevaa nguo ya brown) akiwa na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA ,Mama Salma Kiwete. Picha ya pamoja ya wake wa Marais...

Friday, July 29, 2011

Hotuba ya Mh. Godbless Lema (Mb)

UTANGULIZIMheshimiwa Spika, kwa maslahi ya umma wa Watanzania, napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa leo, kuwasilisha Maoni na Mapendekezo ya Kambi rasmi ya Upinzani, kuhusu Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa mujibu wa kanuni ya 99(7) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la mwaka 2007.Mheshimiwa Spika, natoa pia shukurani zangu za dhati kwa familia yangu, Mke wangu Neema Lema, watoto wangu, Allbless Lema na Brilliant...