Kikosi
kazi cha SKYLIGHT Bendi kikiongozwa na Joniko Flower kuporomosha
burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini
Dar es Salaam. USIKOSE Mkesha wa X-MASS na SKYLIGHT BAND leo Usiku
kuanzia saa tatu pale pale Thai Village.
Diva's wa SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK 47 sambamba na Mary Lucos wakishambulia jukwaa.
SONY MASAMBA sambamba na Aneth Kushaba AK47 wakipiga shoo ya nguvu.
Muziki umenoga mpaka...