This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, December 18, 2009

HII NDIYO IKULU YA MAREKANI WAKATI HUU WA SIKU KUU ZA X-MASS NA MWAKA MPYA

...

BAADHI YA MATUKIO MAKUBWA YALIYOACHA GUMZO DUNIANI MWAKA 2009

Rais wa Marekani Barack Hussein Obama akila kiapo cha kuwa raia wa 44 wa taifa hilo, akishuhudiwa na mkewe Michelle Obama ambaye alimshikia mumewe Biblia, huku mabinti zake wawili, Malia Obama na Sasha Obama wakishuhudia, tukio hili lilifanyika katika eneo la West Front of the Capitol katika Ikulu ya Washington, DC mnamo Januari 20, mwaka huu 2009. (Picha na Chuck Kennedy-Pool wa IFP).Vertie Hodge, (74) akilia siku kuapishwa kwa rais Obama, hili...

Saturday, November 28, 2009

NONDOZZZZZZZ

Ilikuwa siku ya furaha kwa Mdau SARAH ERASTO LUSHU (KULIA) baada ya kutunukiwa Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM) jijini Dar wa Salaam, Ijumaa iliyopita.Pembeni yake ni mhitimu mwenzake, JANE ZACHWA ambaye yeye katunukiwa Stashada ya juu ya Kodi, kutoka Chuo hicho hicho.Gazeti ndatu hili (Blog) ya wanajamii inawapa hongera kwa maana huo ndiyo ukubwa, ila ongozeni juhudi katika kupata nondo nyingine zai...

Monday, November 23, 2009

LIBENEKE LA FISI AFRIKA YA KATI

AMA KWELI UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI. Wahenga naamini kwamba hawakukusea kusema msemo huu kwa maama katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kumeibuka kundi la vijana wanaofuga Fisi na Nyani kwa kama sehemu ya kujipatia kipato kwa watu na wageni kutoka mataifa mengine ambao wanashangaa aina hiyo mpya ya maisha, hasa kwa hapa Afri...

Saturday, November 21, 2009

Sarah Mvungi sasa ni Desemba 13

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Sarah Mvungi hivi sasa yupo kwenye mikakati ya mwishomwisho ya kutoka na albam yake ya kwanza iitwayo Yesu Asante.Akizungumza na safu hii, Mvungi alieleza kuwa kila kitu kipo sawa na uzinduzi huo utafanyika kwenye Kanisa la Christin Fellowship Sinza jijini Dar es Sala...

RAYMOND JACKSON ALONGA BIASHARA YA MUZIKI WA INJILI

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Raymond Jackson (PICHANI JUU) amewataka waimbaji wenzake wa nyimbo za Injili kuachana na kuufanya muziki huo kuwa wa biashara ila wafanye kwa ajili ya kulitangaza jina la Yesu Kris...

Saturday, November 14, 2009

ULAJI WA NYOKA AFRIKA MAGHARIBI

KATIKA Mataifa mengi duniani na hasa ya Afrika, Nyoka ameekuwa ni mnyama hatari kwa maisha ya binadamu, lakini kwa jamii moja kwenye ukanda wa Afrika Magharibi hali imekuwa ni tofauti kwa maana wamekuwa wakitegemea ulaji wa nyoka saka wakatio wa kiangazi ambapo wannyama wengine wanakuwa wamepungua.Zifuatazo ni picha za wanajamii hao wakiwa katika mawindo ya ufatutaji wa mnyama huyo hatari. Hapa wanaonekana wakiwa na Amaconda moja ya nyoka wakubwa...

Friday, October 9, 2009

Ambele Chapanyoka atua mbeya

Zifuatazo ni picha mbalimbali za Ambele Chapanyota kabla ya kuoka na baada ya kuokoka.Muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili, Ambele Chapanyota anatarajiwa kuzindua albam yake iitwayo Ni Yesu tu, kazi ambayo inatafaika katika Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya mapema mwenzi Novemba.Akizungumza na mtandao huu, Chapanyota alisema kuwa katika wakati huu anatarajia kufanya mambo ya tofauti na ilivyokuwa katika zinduzi zilizopita ikiwemo ile ya jijini Dar es...

Thursday, July 23, 2009

Ni zamu ya Joshua John Mlelwa kung'ara

(Joshua John Mlelwa akiwa kwenye jukwaa pamoja na Kundi la Kijitonyama Upendo Group katika moja ya matamasha ya Injili yaliyofanya nchini Tanzania.Na Mdau wetuMAKUNDI mengi ya muziki wa Injili nchini Tanzania yamekuwa ni nguzo muhimu katika kulea vipaji vya waimbaji wengi wa muziki huu. Joshua John Mlelwa ni miongoni mwa vipaji vingi hapa nchini vilivyokulia kwenye mikono ya kundi.Kabla ya kutoka kama muimbaji binafsi, Joshua amekuwa kwenye Kundi...

GAMA WAUSHUKIA MUZIKI WA INJILI

MNENDO wa muziki wa Injili kukubalika kwa mashabiki na wapenzi wake kwa sasa unachangiwa na mambo mbalimbali ambayo ni uimbaji, utunzi na utayarishaji ulio bora.Gamaliel Daniel Mwasumbi ni miongoni mwa waimbaji ambao wamewezesha suala la uimbaji Tanzania kubadilika na kuwa wa aina yake kwa kuwa wakati anaanza kazi hii yeye na wenzake, Godwin Gondwe na David Robert waimbaji binafsi walikuwa wachche hivyo kujikuta wakiwa na mzigo wa kuhakikisha injili...

Wednesday, July 22, 2009

mdau Seppy

Mdau Seppy (kushoto) akiwa na mdau mwenzake wakiendeleza libeneke la mikono's. Seppy ni mmoja wa wadau waliopiga nondo pale VOSA SEKONDARI MIAKA ILEE AMBAPO KWA SASA INAJULIKANA KAMA DAR ES SALAAM CHRISTIN SEMINARY, wakati huo kulikuwa na wadau kama Peris Majura, Kakore, Evelin Komu, Grace Sewe Decha kwa sasa ni waifu wa mtu, Hilda Silas naye ameuaga ukapera juzi juzi tu, du! kweli tumetoka mbali naomba tuwasiliane.....