Mdau Seppy (kushoto) akiwa na mdau mwenzake wakiendeleza libeneke la mikono's. Seppy ni mmoja wa wadau waliopiga nondo pale VOSA SEKONDARI MIAKA ILEE AMBAPO KWA SASA INAJULIKANA KAMA DAR ES SALAAM CHRISTIN SEMINARY, wakati huo kulikuwa na wadau kama Peris Majura, Kakore, Evelin Komu, Grace Sewe Decha kwa sasa ni waifu wa mtu, Hilda Silas naye ameuaga ukapera juzi juzi tu, du! kweli tumetoka mbali naomba tuwasiliane...!.
Wednesday, July 22, 2009
mdau Seppy
7:34 PM
3 comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Namkumbuka dada Seppy mimi ni sekela kwa sasa nipo Dubai
Nadurahi sana kukuona kwenye mtandao huu wa ambao naamini ni wa Kakore ambaye alikuwa akisoma pale Vosa, mimi ni mmoja wa wanafunzi waliokuwa wanasoma vosa ila kwa sasa nipo hapa London naendeleza maisha, nasikia Peres Majura kwa sasa yupo Manchester anapika kitabu, Naitwa Hassan Mlelwa Sephy na hao akina Kakore walinitangulia mwaka mmoja.

Post a Comment