This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, February 8, 2012

Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande Amwapisha Hakimu Mkazi,Katika Mahakama Ya Rufani

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akimuapisha Mhe. Musa Francis Esanju kuwa Hakimu Mkazi, katika Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam, anayeshuhudia (katikati) ni Mhe. Francis Mutungi, Msajili Mahakama ya Rufani Tanzania Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande(katikati),Jaji Kiongozi,Mhe. Fakih Jundu (Kushoto) na Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Francis...

Taswira Halisi Kutoka Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Leo Hii Kufwatia Mgomo Wa Madaktari Unaoendelea Hivi Sasa

Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu Muonekano wa Wodi Mbalimbali Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu...

Jaji Damian Lubuva:Uchaguzi Mdogo Jimbo La Arumeru Mashariki Kufanyika April Mosi 2012.

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Jaji mstaafu Damian Lubuva nje ya viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam Muda Mfupi baada ya Rais Kikwete Kumwapisha Jaji Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu, Dar es Salaam Hivi Karibuni-- Uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki unatarajiwa kufanyika April Mosi mwaka huu. Uchaguzi huo utafanyika baada ya jimbo hilo kuwa wazi kutokana na kifo cha...

Monday, February 6, 2012

Makamu Wa Rais Dk Gharib Bilal Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchiniMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania,...

Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kyaro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya kwanza, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao...

Kutoka Bungeni Mjini Dodoma

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijibu maswali ya wabunge kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na uondoaji wa tatizo la mgawo wa umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini na kufafanua kuwa serikali inaendelea na mikakati ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma ya umeme katika maeneo yasiyo na huduma hiyo na kuimarisha uzalishaji wa umeme wa uhakika katika Gridi ya Taifa kupitia vyanzo mbalimbali.Waziri...

Naibu Waziri Wa Viwanda na Biashara Lazaro Nyalandu,Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Ezekiel Wenje(CHADEMA)Watembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Lazaro Nyalandu akisaini kitabu cha wageni. Kiongozi kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akisani kitabu cha wageni. Waziri kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamtaifa, Mh. Ezekia Wenji akitia saini kitabu cha wageni. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Mh. Lazaro Nyalandu (kulia) akiwa pamoja na Waziri kivuli Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekia Wenje wakiwa...

MAKAMU WA RAIS DK.GHARIB BILAL MGENI RASMI SHEREHE ZA MKESHA WA MAULID VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa, wakati wakiwa katika sherehe za mkesha wa Maulid, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo, jana usiku Februari 04, 2012, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Muumin wa dini ya kiislam kutoka Msikiti wa Suni Hanafi wa jijini Dar es Salaam, Muzamil Chaki, akiimba Qaswaida jukwaani...

Taswira Mbalimbali Za Rais Jakaya Kikwete Katika Sherehe Za Miaka 35 ya CCM Mwanza

Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa KirumbaMwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete wakiongoza matembezi hayo kutoka kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Mwanza hadi viwanja vya Furahisha jijini Mwanza akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa CCM. Kutoka Ofisi hiyo hadi kwenye viwanja ni umbali wa kilometa tatu. Rais Kikwete akimsalimia Katibu...