Monday, February 6, 2012

Shamrashamra Za Miaka 35 Ya CCM Mwanza



Maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo wakishangilia kwa furaha
Gwaride la Vijana wa CCM likipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati wa sherehe za kilele hicho. Vijana 400 wameshiriki gwaride hilo Picha na Bashir Nkoromo

0 comments: