This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, December 26, 2012

Yaliyojiri X-MASS

Kikosi kazi cha SKYLIGHT Bendi kikiongozwa na Joniko Flower kuporomosha burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam. USIKOSE Mkesha wa X-MASS na SKYLIGHT BAND leo Usiku kuanzia saa tatu pale pale Thai Village. Diva's wa SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK 47 sambamba na Mary Lucos wakishambulia jukwaa. SONY MASAMBA sambamba na Aneth Kushaba AK47 wakipiga shoo ya nguvu. Muziki umenoga mpaka...

Tuesday, December 25, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZURU KABURI LA HAYATI IDRIS ABDULWAKIL, MAKUNDUCHI, AMTEMEBELEA MZEE ALI KHAMIS ABDALLAH MUASISI WA AFRO SHIRAZ PARTY

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar  Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja juzi. Rais  Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal alifika  eneo hilo  juzi katika ziara yake ya kuwatembelea...

Tuzo za Wazalendo Januari 31

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Tuesday, November 27, 2012

Dk Ali Shein katika ziara Vietnam

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akiwa na ujumbe wake wakipata maelezo walipotembela katika mabwawa ya ufugaji wa Samaki katika Chuo cha Uvuvi wa Samaki na ufugaji katika jimbo la Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya kiserikali   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipowasili katika Chuo cha...

Chipukizi watesa Wazalendo awards 2012

Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; ...

R.I.P Sharo Milionea

Marehemu Sharomilionea enzi za uhai wake Taarifa kuhusu kifo cha Msanii wa maigizo na Mziki wa Bongo fleva kufariki zimasamba nchi nzima masaa machache yaliopita. Kwa mujibu wa chanzo cha habari ni kwamba amepata uthibitisho kutoka kwa diwani Makame Seif ambaye ni rafiki yake wa karibu sana wa Marehemu Hussen Ramadhani Mkiete maarufu kama Sharo Millionea amepata ajali mida ya saa mbili eneo la maguzoni Tanga na amefariki dunia papo...

Tuesday, November 20, 2012

HATUA ya utoaji wa tuzo za mwanasoka bora wa mwaka 2012, (Wazalendo Footballer of the Year)  imefikia patamu ambapo sasa fainali itafanyika Desemba 30 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa tuzo hizo, Ahadi Kakore  amesema kuwa tuzo za Wazalendo zitakua za tofauti lakini zikiwa na lengo la kusaidia maendeleo ya soka lakini pia suala la uchumi kwa wachezaji husika. “Hadi sasa majina 93 yameshapigiwa...