Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akiwa na ujumbe
wake wakipata maelezo walipotembela katika mabwawa ya ufugaji wa Samaki
katika Chuo cha Uvuvi wa Samaki na ufugaji katika jimbo la Quang
Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya kiserikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipowasili katika Chuo
cha Uvuvi wa Samaki ikiwemo na ufugaji katika jimbo la Quang Ninh Mjini
Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya kiserikali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa na
mazungumzo na Do Quang Sang,(kulia) Mkurugenzi pia Mwenyekiti wa Kampuni
ya Bidhaa za Baharini,wakiwemo Samaki,Kamba pia usindikaji katika
jimbo la Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya
kiserikali
Baadhi ya Viongozi wa Chuo
cha Uvuvi wa Samaki ikiwemo na ufugaji katika jimbo la Quang Ninh Mjini
Halong nchini Vietnam,wakiwa katika mkutano na ujumbe wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara maalum ya
Kiserikali nchini humo.
Balozi wa Tanzania nchini China ambae
anawakilisha Vietnam Philip Sang’ka Marmo,(kutoka kushoto) Waziri wa
Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,na Mshauri wa Rais Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Mohamed Ramia,wakiwa katika
Mkutano na Uongozi wa Chuo cha Uvuvi wa Samaki na Ufugaji katika Jimbo la Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akiangalia Samaki na
Kamba waliokiwisha sindikwa ikiwa ni tayari kwa usafirishaji,
alipotembelea katika kiwanda cha (Quang Ninh Sea Products
Import Export Company) katika jimbo la Quang Ninh Mjini Halong nchini
Vietnam,alipokuwa katika ziara ya Kiserikali,(kushoto) Mkurugenzi pia
Mwenyekiti wa Kampuni kampuni hiyo, Do Quang Sang,(katikati) Nguyen Ha
Dieu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Do Quang Sang,Mwenyekiti
pia Mkurugenzi wa Kampuni ya Import Export inayosindika na Bidhaa za
Baharini katika Jimbo la Quang Ninh Mjini Halong Nchini Vietnam,baada ya
kutembelea Kampuni hiyo,akiwa katika ziara ya Kiserikali.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment