Rais
wa zamani wa Marekani, Bill Clinton akimtembelea Rais wa zamani wa
Afrika Kusini, Nelson Mandela nyumbani kwake Qunu, katika picha hii
iliyopigwa jana (Julai 17, 2012). Mandela anasherehekea kutimiza umri wa
miaka 94 leo Julai 18. Picha: REUTERS |
0 comments:
Post a Comment