Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto) akifafanua
jambo katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu
sakata la baadhi ya meli za Irani zinazodaiwa kupeperusha Bendera ya
Taifa ya Tanzania katika Bahari ya Hindi. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara
hiyo, John Haule. (PICHA KWA HISANI YA RICHARD MWAIKENDA) |
0 comments:
Post a Comment