Afisa Biashara wa Vodacom Tanzania Ezekiel Nungwi,akitoa maelezo ya
huduma za fedha kupitia mtandao huo wakati wa mkutano wa huduma za
kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini
Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za
mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam
jana,wakiangalia vipeperushi kwenye banda la Vodacom Tanzania.
0 comments:
Post a Comment