This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Saturday, August 28, 2010

CHADEMA yazindua kampeni zke Jangwani leo



Dr. Willbrod Slaa mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Chama cha cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimezindua kampeni zake za uchaguzi ambapo viongozi mbalimbali wa chama hicho pamoja na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, walihudhuria.

viongozi 10 wazee zaidi duniani

ROBERT MUGABE, 84, president of Zimbabwe, 28 years in power
KING ABDULLAH , 84, king of Saudi Arabia, 12 years in power
GIRIJA PRASAD KOIRALA, 83, prime minister of Nepal, two current years in power
ABDOULAYE WADE, 81, president of Senegal, eight years in power
HOSNI MUBARAK, 79, president of Egypt, 26 years in power
SHEIKH SABAH AL AHMAD AL SABAH, 78, emir of Kuwait, five years in power
RAUL CASTRO, 76, president of Cuba, two years in power, including unofficially
MWAI KIBAKI, 76, president of Kenya, five years in power
MANMOHAN SINGH, 75, prime minister of India, four years in power
THAN SHWE, 75, chair of Burma's military junta, 16 years in power

Thursday, August 5, 2010

Naomi Campbell kutoa ushahidi dhidi ya Charles Taylor

Mwanamitindo Naomi Campbell, anatarajiwa kutoa ushahidi katika mahakama ya jinai huko the Hague kwenye kesi inayomkabili rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor.

Bi Campbell inadaiwa alipokea almasi kutoka kwa rais huyo wa zamani kama zawadi mwaka 1997 -- ingawa amekanusha.

Bwana Taylor anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kivita katika mahakama maalum kuhusu Sierra Leone huko the Hague, inadaiwa alimkabidhi Bi Campbell almasi kama zawadi mnamo mwaka huo akiwa nchini Afrika kusini kwa mwaliko wa rais mstaafu Nelson Mandela.

Hata hivyo Taylor amekanusha madai hayo na ndio sababu kuu ya bi Campbell kutakiwa kutoa ushahidi katika kesi hiyo.

Madai hayo pia yamesemekana kuwa sababu ya kesi dhidi ya Yaylor kwa vitendo vyake, wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi jirani ya Sierra Leone.

Upande wa mashtaka ungetaka kuthibitisha kuwa bwana Taylor alihusika katika biashara ya kubadilishana silaha na kupewa Almasi zilizopatikana kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone.