MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDI AREJEA KUTOKA KATIKA ZIARA YA WIKI TATU
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa shada la
mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi
za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara ya
wikiTatu za nchi za Izrail,Cuba na UAE
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa shada la
mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi
za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja
mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya
Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.Picha na
Yussuf Simai-Habari Maelezo-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment