MWANASIASA mkongwe
nchini Kenya George Saitoti amefariki
dunia katika ajali ya kelikopta yeye pamoja na naibu wake Orwa Ojode baada
ya ndege yake kulipula jijini Nairobi.
Hadi sasa haijaweza
kujulikana wazi kiini cha ajali hiyo ambayo imewastua wengi katika Ukanda wa Afrika
Mashariki na kati kwani licha cha kuwa katika siasa za Kenya kwa muda mrefu
lakini alikuwa ni miongoni mwa watru waliokuiwa wanapewa nafasi kubwa ya
kumrithi Rais wa sasa wan chi hiyo, Mwai Kibaki.
Saitoti (66) miili ya
waliokufa imepatikana na imehifadhiwa kwenye Hospitali kuu ya jijini Nairobi na
uchunguzi juu ya ajali hiyo unaendelea hivi sasa kati ya maafisa wa anga na
jeshi la polisi la Kenya.
Picha ya Marehemu Saitoti na nyingine ni za ajali kama zilivyopatikana eneo la tukio.
0 comments:
Post a Comment