Sunday, June 10, 2012

TAIFA STARS YAICHAPA GAMBIA 2-1 UWANJA WA TAIFA



 Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars Mrisho Ngasa akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Gambia The Scorpions wakati timu hizo zikichuana katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil, mchezo huo unafanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hivi sasa mpira umekwisha Taifa Stars ikiifunga  Gambia magoli 2-1  na kujipatia pointi zake tatu za mwanzo, Magoli yamefungwa na wachezaji  Shomari Kapombe Waziri Salum aliyefunga kwa njia ya penati baada ya mabeki wa timu ya Gambia kuunawa mpira katika eneo la hatari.
 Madaktari wakimtibu Mrisho Ngasa mara baada ya kuumia katika mchezo huo.
Kikosi cha timu ya Gambia kikiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja.

0 comments: