Thursday, June 14, 2012

Stars ilivyoagwa Dar


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meckysadik (pichani kulia) akikaasubuhi hii ameibakidhi bendera timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika kambi yao, hoteli ya Tansoma, eneo la Gerezani, Dar es salaam kwa ajili ya safari yao ya Msumbiji kesho kucheza na wenyeji, Mambas Jumapili katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani nchini Afrika Kusini.

Kelvin Yondan-Beki

Kiungo mshambuliaji Frank Damayo

Mabakidhiano ya bendera ya Taifa

Katibu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza

Rais wa TFF, Leodegar Tenga akizungumza 

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akiteta jambo na Msaidizi wake, Sylvester Marsh.

Kiungo Haruna Moshi 'Boban' akisikiliza kwa makini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meckysaidk akizungumza kwa hisia

Kocha wa makipa wa Taifa Stars, Juma Pondamali kushoto akiwa Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi wa Maganga.

0 comments: