This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Saturday, February 19, 2011

kampeni ya madawa ya kulevya yaja

Taasisi ya kutoa elimu kwa wanafunzi na vijana juu ya adhari za madawa ya kulevya ya iitwayo (Youth Liberty Professional) imeandaa kampeni maalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa vijana mashuleni.

Msemaji wa taasisi hiyo, Lovenes Sallu alisema kuwa wamejipanga kuhakikisha kuwa elimu hiyo inawafikia vijana wengi ambao wapo mashuleni na vyuoni.

Kampeni hiyo inajukana kama ‘fikiria Tanzania ya kesho’ inawahusu watu maarufu kama wanasiasa, wanasoka, wanamuziki na watu wengine waliopata mafanikio katika jamii ya Watanzania.

RAIS WA RBP GROUP ASAIDIA AMANA

Rais wa Kampuni ya RBP Group Rahma Al- Kharoos akikabidhi msaada wa chakula kwa mzazi Honoela Lucas katika wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Amana leo ambapo katika kukabidhi msaada huo aliongozana na warembo wanaoshiriki katika shindano la Kisura ambalo linatarajiwa kufanyika tarehe 12 machi mwaka huu jijini Dar es salaam katika picha kulia ni mmoja wa washiriki wa shindano la Kisura.

Rais wa Kampuni ya RBP Group Rahma Al- Kharoos kushoto akiongozana na mwandaaji wa shindano la Kisura Jully wakati walipowasili hospitali ya Amana leo.

Yanga yachangia wa mabomu

Klabu ya Yanga imetangaza kuwa itaungana na Watanzania wengine katika kuhangaika na kuwasaidia wahanga wa mabomu w katika kambi ya jeshi ya Ngongo la Mboto.

Katibu mkuu wa klabu hiyo, Celestine Mwesige alisema kuwa kuanzia Ijumaa iliyopita wamefungua mfuko maalum wa maafa ambao upo kwenye makao makuu ya klabu hiyo iliyopo makutano ya mitaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam.