Bondia Thomas Mashali usiku wa
kuamkia leo alifanikiwa kumtupia makonde mazito na ya akili bondia Medy
Sebyala wakati wa mpambano wao wa
kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati ambapo Mashali alishinda
kwa point.
Pichani juu akiwa na Kenyella mkuu wa jeshi la polisi Kinondoni
Picha ya kati akipambana vikali na mpinzani wake Medy Sebyala na picha
ya chini akiwa na mashabiki wake akiwemo msanii wa muziki wa kizazi
kipya Joseph Haule Profesa J, mlinzi wa kati wa mabingwa soka Tanzania
Bara Simba, Juma Nyoso pamoja na kiungo Haruna Moshi 'Boban'.
0 comments:
Post a Comment