Sunday, October 7, 2012

SERENGETI BOY YAVUNJA KAMBI KWA USHINDI WA 2-0

 TIMU ya Taifa ya vijana jana imevunja kambi kwa ushindi  wa 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Karume na Yanga B
Kambi imevunjwa kwa wiki mbili

0 comments: