Friday, September 7, 2012

SIMBA YALALA 3-0 KWA SOFAPAKA

Golikipa wa Simba Juma Kaseja akidaka mpira kwenye mchezo wa kirafiki walicheza na Sofapaka ya Kenya

Mshambuliaji wa Simba Daniel Akuffo akitolewa uwanjani baada ya kuzimia kwa dakika kadhaa baada ya kugongana na beki wa Sofapaka

Salum Kine wa Simba akijaribu kumdhibiti Humprey Mteno

Wachezaji wa Sofapaka wakishangilia bao lao kwanza waliloifunga Simba. Simba walifungwa bao 3-0

0 comments: