Saturday, September 15, 2012

TENESI YANOGA GYMKHANA

Mchezaji Benard Anthony akirudisha mpira kwa kwa Thomas Jacob wakati wakipambana kwenye uwanja wa Gymkhana jana


Mwila akipeana fair play na Mabula baada ya mchezo kumalizika na Swila kushinda

Thomas Jacob akijianda kusave mpira kwa Benard Antony kwenye mashindano ya tenesi yanayofanyika viwanja wa Gymkhana

0 comments: