Viongozi wawakilishi wa Simba na Yanga wakiwa na Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe na Mkurugenzi wa mashindano wa TFF na Saad Kawemba |
Msemaji wan Yanga Louis Sendeu akipokea vifaa toka kwa meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe |
Makamu M/kiti wa Simba Kaburu Nyange akipokea vifaa toka kwa meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe. |
Hapa wameshika vifaa walivyokabidhiwa , aliyeshika mipira ni mkurugenzi wa mashindano wa TFF na Saad Kawemba |
0 comments:
Post a Comment