Wednesday, September 12, 2012

SIMBA YATWAA NGAO YA JAMII

Nahodha wa Simba Juma Kaseja akikabidhiwa ngao ya jamii na Waziri Makongoro Mahanga



Kiungo mshambuliaji wa Simba akishangilia kwa staili ya aina yake na wachezaji wenzake baada ya mchezo wa ngao ya jamii kumalizika na Simba kushinda bao 3-2

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la ushindi alilofunga Mwinyi Kazimoto

Kikosi cha Simba

0 comments: