Friday, September 21, 2012

MASHINDANO YA NGUMI ZA RIDHAA YAFUNGWA DAR ES SALAAM


Bondia Ester Kimbe wa Ngome akimrushia makonde Mariam Nyerere wa Dodoma

Katibu Mkuu wizara ya Habari, michezo vijana na utamaduni akisalimiana na mabondia wa mkoa wa Ilala wakati akifunga mashindano ya ngumi Taifa, jijini Dar es salaam


Katibu Mkuu wa BFT akikabidhi kombe kwa kocha wa timu JKT baada ya kitangazwa mabingwa ngumi za ridhaa RTaifa jana kwenye uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam

0 comments: