TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam imesema kuwa nguvu zake zote wamezielekeza kwenye mchezo wa jumatano dhidi ya Mtibwa baada ya kutoka sare na Prison ya Mbeya kwenye mchezo wa ufunguzi wa pazia la VPL.
Yanga ambayo inafundishwa na Tom Saintfiet wamesema walifungwa kutoka na na uwanja kuwa mbaya na sehemu waliyofikia nayo ilikuwa mbaya sana.
Yanga ambayo leo wamefanya mazoezi uwanja wa Loyola Mabibo jijini Dar es salaam wamesema kesho wanaondoka kwenda Moro kupambana na Mtibwa
0 comments:
Post a Comment