Monday, September 10, 2012

MWENYEKITI BARAZA LA MICHEZO AFUNGA RIADHA

Wanariadha wa Mjini Magharibi wakishangilia

Mwenyekiti wa baraza la michezo (BMT) Dioniz Malinzi akikabidhi kombe kwa washindi wa jumla wa riadha Mjini Magharibi

Waliosimama wanariadha toka Zanzibar waakipinga matokeo yaliyotangaza Arusha kuwa mshindi wa jumla wakidai washindi mjini Magharibi, ikabidi matokeo yapitiwe na kubainika Mjini Magharibi ndio washindi

Vikombe vilivyotolewa

Dioniz Malinzi akitoa hotuba ya kufunga riadha jana uwanja wa Taifa.

0 comments: