Friday, September 28, 2012

MABONDIA WATAMBIANA

Mabondia Karama Nyilawila na Francis Cheka leo wametambiana kila mmoja kumchapa mwenzie kwa KO mara baada ya kupima tayari kwa pambano lao kesho

Mabondia hao wa ngumi za kulipwa  watapanda ulingoni kupigana kuwania ubingwa wa dunia wa kati, lenye raundi 12 kg 75
Pambano hili litafanyika ukumbi wa Mawela Sinza na mwamuzi anatoka Malawi.
Kabla mabondia hawa kupanda ulingoni kutakuwepo na mapambano saba ya utangulizi yenye raundi 7 kwa uzito tofauti
Bondia Karama Nyilawila akipima uzito tayari kwa mpambano wa kesho na Francis Cheka

Bondia Francis Cheka akiwa ameshika mataji ambayo amekwisha yatwaa wakati akiongea na waandishi wa leo

0 comments: